Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao
Aiseee.Safari ya mwakaleli itaanza soonMwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao
Mbagala ni makazi ya timu ya azam anayichezea lakini yeye anatokea pasua moshiNaye wa mbagala huyu kumbe?
Masaki wanatoka "mafisadi chipukizi & Majipu chipukizi".[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mchezaji mzuri hatoki masaki mkuu