Faridi & chilunda bye bye ijue CD Tenerife B

Cha muhimu ni kujituma tu. Hard work itawafikisha mbali, scouts watawaona kirahisi kule kuliko wakiwa Simba au Yanga
 
Unajua etoo alipoanzia au unasem la tu
 
Nashauri tuache kudanganya umri huyo nahisi kuna kitu hakipo sawa Ulaya hawana wivu na mtu kwenye mpira sisi wachezaji wetu in ltatizo
 
Alikosa pa kufikia Ulaya.... Akawa analala Airport, wazungu hawakuamini why hakufa kwa baridi lile!
 
Nikitazama kiwango cha Farid nashawishika kumwamini mleta mada
 
Hiyo time inafanya biashara ya kuuza wacjezaji so akicheza vizuri anauzwa timu ya juu zaidi
 
Ridhiki ya mbwa iko miguuni.ngoja wakapate exposure.Uko channel zakutoboa ni nyingi tofauti na uku bongo.na lazima ujue kila kitu ni jitihada.
 
Kama ulikuwa hujui FARID MUSA amejumuishwa katika kikosi A Cha TENERIFE na CHILUNDA ametambulishwa kwenye timu A hachezi timu B kwahyo wote watakuwa Segunda league
 
Analipwa shilling ngap kwan? Tuanzie hapo ili tujue kama anafanan na mbao fc au ni polojo tu za watz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…