M Mndengereko One JF-Expert Member Joined Apr 26, 2015 Posts 340 Reaction score 243 Jan 2, 2016 #1 Winga wa Azam,Farid Musa Maliki Shaa wiki ijayo atakwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Olimpija ljubljana inayoshiriki ligi kuu ya Slovenia. Tumwombee dua aweze kufanikiwa. Last edited by a moderator: Jan 5, 2016
Winga wa Azam,Farid Musa Maliki Shaa wiki ijayo atakwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Olimpija ljubljana inayoshiriki ligi kuu ya Slovenia. Tumwombee dua aweze kufanikiwa.