Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,055
- 781
Hii sirikali ukiwa NDULI ndiyo unapandishwa CHEO.Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa.
Hongera kwake.
View attachment 3688758
Hapo unamtetea huyo nduli au unajisemea tu na kunena kwa lugha?Mtetezi mkubwa wa haki ni lazima watokee watu wenye hofu ya Mungu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ambao watajali maslahi ya wananchi na nchi na si vinginevyo. Ambao watasema hapana,hii inatosha
Na Siro!CV ya CCM kuonesha tabia za makonda au mafwere ndio unapata cheo.
Ukitaka kuridhia na CCM, unatafuta kifo.Huyu bwana aliwahi kukemewa na Nchimbi kwa kauli ile ya "...tukiwapoteza,polisi msiwatafute".
Halafu kuna watu wanazungumzia maridhiano ambayo kiuhalisia hayawezi kuwa na dhamira ya kweli.
Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa.
Hongera kwake.
View attachment 3688758
Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa.
Hongera kwake.
View attachment 3688758