Farkhina na wana jf chef naomba mwenye mapishi ya kutumia cooking chocolate

Farkhina na wana jf chef naomba mwenye mapishi ya kutumia cooking chocolate

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
1,244
Reaction score
671
Nina packets of cooking chocolate nashindwa kubuni pishi la kuitumia, tafahali mwenye mapishi mazuri aniandikie. Asanteni
 
Zile bars kubwa kubwa nashindwa kuattach pics...wanauzaga kwa kgs zile
 
je desserts ? kuna aina zozote naweza tumia hizo chocs
 
farkhina mi naomba topics za salad ambazo hata mtu anaweza kwenda nazo ofisini zisiharibike hadi mchana zisiharibike.
 
farkhina mi naomba topics za salad ambazo hata mtu anaweza kwenda nazo ofisini zisiharibike hadi mchana zisiharibike.

jaribu kutumia vinega nyingi kiasi au ndimu na chumvi ya kutosha..
 
Back
Top Bottom