These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya mapishi ambayo imekuwa msaada mkubwa mno hasa kwa wale waliofuatilia kwa umakini na wale wanaojali afya zao na za wapendwa wao! to me you are more than a chef expert! THANX N KEEP IT UP!!! USICHOKE
Wivu sinaaaaaaa, Japo mi sijasifiwa. 🙁
Lkn usemayo ni kweli honey
Yap kweli kabisa...
basi nikajua na wewe leo umetokelezea na pish jipya la kumtunuku bibie kumbe ni salam tupu.
haya basi ekaga na wimbo wa kusindikiza salam hizi
Jaan nlijua lazma upite apa
Hongera da farkhina.... Ukija bongo me nataka uje unifundishe live
These special dedication are meant for you farkhina na wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wameifanya JF CHEF iwe hivi ilivyo leo Farkhina umededicate muda wako kutupa elimu ya mapishi ambayo imekuwa msaada mkubwa mno hasa kwa wale waliofuatilia kwa umakini na wale wanaojali afya zao na za wapendwa wao! to me you are more than a chef expert! THANX N KEEP IT UP!!! USICHOKE
Hongera da farkhina.... Ukija bongo me nataka uje unifundishe live
Naomba pongezi zisindikizwe na lile song ila kurusha wowowoJuhudi za farkhina kwa miezi mingi sasa imelifanya jukwaa la mapishi kupanda chart na kuwa moja ya majukwaa maarufu hapa jamvini. Hongera zako nyingi Farkhina.
Shost utanishtua na mie najua tu kupika ugali ule wa kuumiza mbavu
nikipika chapati heeee ngoja niuchune mie