Farm for sale

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
Wana JF salama...

Nina shamba salasala ambalo halijapimwa lenye ukubwa wa mita za mraba 3000 sawa na robo tatu ya eka naliuza shilingi 9 Milion....lina miti michache ya maembe, minazi na linafikika vizuri kwa barabara. umbali kutoka barabara ya bagamoyo ni KM 4...

Kwa atakaye hitaji tafadhali tuwasiliane kwa 0784 508466...

Kwa upimaji mi mwenyewe ni mpima ardhi hivyo tutafanya pamoja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…