Farmers Market at sea cliff

Farmers Market at sea cliff

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
452
ImageUploadedByJamiiForums1397148468.321118.jpg
Wana jamii na wakulima kwa ujumla karibu sea cliff parking lot jumamosi hii unadilishane mawazo na wakulima wenzako.Nitakuwepo kuongea ha organic products kutoka milima ya ULUGURU Morogoro.Karibuni mjionee Kilimo kinavyowatoa wenzenu
Asante picha za ujasiriamali chiniImageUploadedByJamiiForums1397148710.539492.jpg
 
Pichani product package zimetulia hope zipo mzuka. Tuenzi vyakula vyetu bongo vya asili zaidi.!
 
Mkuu ni lini hasa hii kitu inafanyika?
Manake neno wikiendi ni pana sana..
 
Muwe basi mnafungua na attachments kupata maelezo kamili kuhusu tukio ni Jumamosi hii tarehe 12/04/2014
 
Back
Top Bottom