Farmers Market at sea cliff

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
452

Wana jamii na wakulima kwa ujumla karibu sea cliff parking lot jumamosi hii unadilishane mawazo na wakulima wenzako.Nitakuwepo kuongea ha organic products kutoka milima ya ULUGURU Morogoro.Karibuni mjionee Kilimo kinavyowatoa wenzenu
Asante picha za ujasiriamali chini
 
Pichani product package zimetulia hope zipo mzuka. Tuenzi vyakula vyetu bongo vya asili zaidi.!
 
Mkuu ni lini hasa hii kitu inafanyika?
Manake neno wikiendi ni pana sana..
 
Muwe basi mnafungua na attachments kupata maelezo kamili kuhusu tukio ni Jumamosi hii tarehe 12/04/2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…