Fart Study

Wee Boflo weee! Asante, Umenifurahisha sana kwa kufichua hiyo study.
 
unajua Boflo huwa sikupatii picha lol!
 
Last edited by a moderator:
Nipo ofisin naogopa kuifungua hiyo study, hebu nihakikishie Boflo haina mlio kweli? Nisije nikashtua watu bure!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, yaani naogopa kufungua
Mie na bosi wangu leo tunashare komputa.
 
Hizo za kwenye gari halafu uko peke yako ni poa sana hizo! Hakuna kujibana....unajiachia tu!:car:
 
Hahaaa safii sana umei present 'kiutu uzima' kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…