( Faru John) Konyagi Katika Muonekano Mpya

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.

Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani

Jion Njema
 
Unamaanisha bunge la bajeti kumbe?nyie watoto wa siku hizi mnaviswahili baraaa.eti pesa mingi mnaita mpunga.makalio mwaita msambwanda au chura.
 
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.

Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani

Jion Njema
Utakuwa unazungumzia lijiLUSEKELO........(jibapa)
 
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.

Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani

Jion Njema
Mpya kwenu tu hyo ipo toka zamani
 
Mhhh mbna m nshainywa sana nkiwa chuo bata valeur pia wanayo hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…