Fascist trends katika dunia ya kwanza, USA na Germany mifano hai

Fascist trends katika dunia ya kwanza, USA na Germany mifano hai

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe.

Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC), lakini hii demokrasia ya kisasa haina hata miaka 200 kwa nchi zilizoendelea.

Ukweli ni kwamba nchi zilizoendelea kiuchumi na kijamii ndizo zilianzisha hii tunaita modern democracy.

Sasa hivi inaelekea ndani ya nchi zilizoendelea kwa kiwango cha uu, Uingereza, Marekani na hata Ujerumani, demokrasia inataka kukunjwa ili iwapendelee watu fulani tu-hasa wenye pesa.
Some people are more equal than others!

Kitendo cha Rais Trump kuandaa "mapinduzi" ya kuiteka dola na kuzuia rais mpya Biden kuapishwa, January 6 Riots(6th Jauary 2021), ni kielezo cha Ufashisti kutaka kuingia Marekani.

Ujerumani, hivi karibuni wamekamatwa watu 22, kwa kutaka kuipindua serikali ya Ujerumani!!

Haya mambo sisi tukifikiri ni ya dunia ya tatu!!!!
 
Warumi walikuwa noma, ilikiwa kama nchi inapitia kipindi cha vita au halu tete wanamchagua mtu wa kuwa dictator kwa kipindi ambacho kilikuwa hakizidi miezi sita ila alikuwa naweza kuongezewa. Na karibu madikteta wote waliheshimu kipindi hicho na kilipoisha madaraka yakarudi kwa senate
 
Aliyeelewa anieleweshe tafadhali
Kwa lugha rahisi isiyohitaji kufikiri sana iko hivi.
Trump alitaka kubaki madarakani kwa ktozingatia katiba, na akaanzisha fujo, Jan 6, kutaka kupindua utaratibu wa kumpata rais mpya,
Ujerumani wamekamatwa watu wenye heshima zao, wakitaka kufanya mapinduzi ya serikali.

Hapo umeelewa?
 
Demokrasia ni neno lenye asili ya Kigiriki, na Imeasisiwa na Wagiriki sio Warumi. Hoja yako ina uzito hasa ukizingatia ubaguzi na kunyongwa kiholela kwa Afroamericans huko US.
 
Demokrasia ni neno lenye asili ya Kigiriki, na Imeasisiwa na Wagiriki sio Warumi. Hoja yako ina uzito hasa ukizingatia ubaguzi na kunyongwa kiholela kwa Afroamericans huko US.
Naafiki mkuu.
 
Back
Top Bottom