Fashion mpya in town: Je, utanunua hii sneaker kwa mil 1.5?

Fashion mpya in town: Je, utanunua hii sneaker kwa mil 1.5?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Brand ya kifahari ya Balenciaga imetangaza inakuja na fashion new old ya kiatu aina ya Distressed paris converse. Hata hivyo pea zilizopo ni chache na hazizidi pea 100.

Kiatu hiki cha Distressed Paris Converse chenye muonekano wa kuchakaa na kuchafuka kitapatikana katika rangi nyeusi, nyeupe au nyekundu ambapo bei yake inaanzia $625 Tsh. milioni 1.4 hadi $1850 Tsh. milioni 4.3

Je, we Umevutiwa na kipi hapo kumbuka vipo vichache tu? [emoji2]

FB_IMG_1652306714171.jpg
FB_IMG_1652306692392.jpg
FB_IMG_1652306662320.jpg
 
Wazungu wapuuz sana KANYE WEST once sold YEEZY Destroyed wool sweater at market price of $2,150 which is 4,998,750Tshs na watu walifurika dukan haha cheki sweater lenyewe....Aisee

Yee himself.png


yee sweater.jpg


yee women.jpg
 
Watu wanapenda ugaigai hilo sweater si Kama tu yale masuluali yaliyochanika chanika akivaa kijana sawa lakini unakuta mzee naye kavaa sa unajiuliza huyu alikuwa wapi wakati wa ujana wake?
Hayakuwepo .
 
Back
Top Bottom