Fashion za waimba kwaya

Benny

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
3,275
Reaction score
5,404
Hello from the other side!

Okay nafurahia sana hili jukwaa la "Nirvana" limechangamka japo ni lipya ila lipo poa sana shukrani kwa moderator.

Nimeona thread kadhaa juu ya fasheni za watoto,wapendanao pamoja na mitindo kadhaa ya urembo na utanashati pia leo nikawakumbuka ndugu zangu wapendwa wanakwaya wana fashion na mitindo yao tofauti kidogo mingine mizuri mingine agggrrr

Nimejaribu kucheki kidogo sana kupitia google kuona jinsi wapendwa katika mataifa kadhaa ha hapa Afrika wanavyovaa nimevutiwa sana na South Africa pia Kenya sio mbaya sana ila Uganda ndio wale wale Tanzania ndio hapana Ahsante

Hii ni baadhi ya mifano michache[emoji23]

Uganda

Kenya

Rwanda

South Africa

Tanzania

Nimejiuliza tu kwa wanakwaya wetu ina maana bila hayo mashati ya kumeremeta kinanda hakisikiki?

Binafsi siyapendi kabisa na sijui mtu anakua na ujasiri gani kuvaa hayo mashati ya kumeremeta maana inataka ujasiri kweli

Niliwahi kumuacha msichana wangu mapemaa kwa jaribio la kutaka kumletea mdogo wangu shati kama hilo kwenye mahafali
 
We ulikua na sababu nyinfine ya kumuacha msichana wako sio kisa Shati .... uliunganisha matukio ukapata sababu

Back to Topic... ni kukosa creativity na kuigana tu.....
wanaweza shona African print ka wakawa bomba zaidi
 
Kiongoz hao sio tz ni ambasador toka Rwanda,JIPANGE!!!!!
 
Nawe kiboko ama ulikua umechokana na huyo girlfriend? Maana haiingii akilini kumwacha umpendea kisa shati la kung'ara si ungemwelimisha tu.

Hah..you got me!
 
Well said...sijui kwa nini hawaioni mitindo ya kiafrika...
We ulikua na sababu nyinfine ya kumuacha msichana wako sio kisa Shati .... uliunganisha matukio ukapata sababu

Back to Topic... ni kukosa creativity na kuigana tu.....
wanaweza shona African print ka wakawa bomba zaidi
 
Kiongoz hao sio tz ni ambasador toka Rwanda,JIPANGE!!!!!

Shukrani mkuu

Nliona kwenye Tanzanian Choir japo nilikua na wasiwasi wanafanana na Ambasadors...wacha niedit!
 
Hahaha Benny unazingua ujue. Sare kuu ni skirt/suruali nyeusi na white shirt
 
Yaani nimecheka..eti ukamwacha gf kwa jaribio la kutoa zawadi ya shati ya kung'aa....ahahaha
 
Yaani nimecheka..eti ukamwacha gf kwa jaribio la kutoa zawadi ya shati ya kung'aa....ahahaha
Hahah alifanya kitu anachojua sipendi[emoji1]
 
Hahah alifanya kitu anachojua sipendi[emoji1]
Nikuambie kitu,edit hiyo post na uondoe hicho kipande cha kumuacha mpenzio kisa shati la kumeremeta.
Si unatujua tena Waafrika ni vile alivyosema Donald Trump?
Mada ya fashion itawekwa kando litajadiliwa hilo.
 
Hahahah

Hii imenichekesha sana[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…