Fashooooni na Ulimbwende

Fashooooni na Ulimbwende

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
2,801
Reaction score
4,212
Wasalaam akina Mama, Madada na Mabinti. Nawasalimia katika jina la Urembo, na Umaridadi. Ama baada ya salamu kwenu ninyi , Mabinti wa Afrika, Ma-MALIKIA wetu sisi wanaume wa Kiafrika... Naomba yafuatayo yawafikie.

Mosi, waswahili wanasema pesa ni sabuni ya roho.. ila kwetu sisi Wanaume ninyi ni Maua ya Ulimwengu, Furaha yetu na zaidi ninyi ndio custodian wa Ulimwengu huu.. watunza mbegu na walinda vizazi.

Baada ya kusema hayo naomba mjue haya, Mnapokuwa katika harakati njema za kuonekana nadhifu na walimbwende ninawasihi mzingatie Principal kuu mbili za ubunifu(design) "Kiasi na Uwiano" (Proportionality and Balance)

Uzuri upo katika hayo mawili (Kiasi na Uwiano) mnapoacha kuzingatia huwa mnatokelezea kwa namna ya kuchekesha japo tunaendelea kuheshimu Spirit of confidence you possess.. maa a mengine huwa mnatutisha unapata wapi ujasiri wa kutoka na nywele nyingi zilizo kwenye uwiano wa 1:3 na mwili.. !?

Hi trend ya kuweka manywele meeeeengi lazima mjue its not practical.. unakuwa kama penseli imechomekwa kwenye Ntula mbichi.. unakuwa kama 1/5 au 1/4 ya urefu wako wote ni kichwa sasa hii si ubinadamu..

Katika kuumbwa miguu (makanyagio) inatakiwa kuwa ya wastani.. sio mnavaa yale maviatu yana manyoya.. mnakuwa kama statue imejengewa base isianguke. Yaani miguu inakuwa mikuuuubwa na kukosa uwiano na mwili.

Trend ya kunyanyua Matiti juu.. yanakuwa kama wanasesere wa udongo tuliotengeneza kwenye darasa la sanaa na Mwl. John (RIP). Yaani ni abnomal kabisa..maana inakuwa kama manyonyo yameotea kwenye collar bone. Not fair at all. Tunaanza kupata wakati mgumu kutafuta the right place kwa imagination.. imagine.

Hii ya mwisho ni ile ya kupaka shade za rangi mbali mbali usoni.. Mungu anisamehe lakini nadhani mnaonekana kama Michoro ya Tingatinga.. its real but not normal..

Sasa mimi siwapangii mfanye nini na miili yenu.. ila nadhani kama your quest to searching for better ways to enhance beauty should be aspirated with nature. Wapo wamama wana wanja tu enjofesi and they are making the most out of it.. I wish that spirit possesses all of you.

Amen

With love
Kay.
 
Wivu tu !
Wanawake wanapendeza sana,
Tena wanaume tunafurahi sana kuwaona hivo!
......
Endeleeni kujipamba na kujiremba
 
Back
Top Bottom