Fast & Furious 9: Umeionaje?

Umetisha mzigo wa maana sana huo..
Mzigo mwingine ulionifanya nicheke sana ni huu hitman's wife bodyguard
 
Nimeangalia movie nyingi naona siku izi movie zimeisha story wanachofanya ni ku change character tuu ila content za movie aisee ni hakuna kitu kabisa , ebu nambie movie gani ni mpya kuanzia kwenye story ?niishie kusema production ya movie kwenye story imeeshia ukomo ndio maana saa hii movie moja ma star kumi
 
Hiyo movie niliacha kuangalia pale diesel na mdada flani wakiwa ndani ya gari wamerukia mlima mwingine kwa kutumia kamba na Gari likaharibika sana lakini wao hawakuumia hata kidogo.
 
Tayari movie ya FF9 imeachiwa clean version, wazee wa kudownload kazi kwenu! Kama ushaoiona njoo utupe maoni yako, tumepigwa au laa?

View attachment 1872922
iko vizuri,yaani jamaa wanakulazimisha kukudanganya mpaka unaingia lineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,ila nilicheka zaidi mbongo mwenzetu Tyrese alivoanza kujihisi yeye si binadamu wa kawaida maana karushiwa risasi nyingi na hata moja haijampata πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
waache kutengeneza hizi movies, tumechoka.
na kwa ule mmalizio inaonekana kuna muendelezo,maana Cipher hajafa na kachefukwa halafu mwishoni kabosa kuna jamaa aliingia na gari pale wakati wanakula unaweza kukuta ni mdogo wake shaw
 

Hollywood sku hizi wameishiwa new materials kazi yao ni Kutoa Sequels, Pre-sequel, remakes, reboots au live actions za animation hawana mpya kupata original story kwa sasa ni nadra, labda icheki Ice road ya Liam Neeson japo sina uhakika kama ni adaptation kutoka mahali au la
 
Ikitoka army of thieves unistue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…