Fast & Furious 9: Umeionaje?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
From street racing based to sci Fi movie.

Ukiondoa hivyo hii movie haichoshi kwa wapenda actions.
 
From street racing based to sci Fi movie.

Ukiondoa hivyo hii movie haichoshi kwa wapenda actions.

Yaani bora umesema kabisa ni sci-fi nisipoteze muda wangu,zinakuaga ni movie za kishenzi sana.
 
Binafsi naona Kama inazidi kupoteza mvuto tu by the way zile fast and furious part 5 and 6 ndio zilikuwa nzuri zaidi ya hii ya sasa.
Nzuri ya 3 ya 2 na ya 1 na ya 5
Hizo ndo zina fast ndani yake
Hii ya 9 wangeiita tu furios and furious 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…