Fasta sana wadau

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
TANGAZO MUHIMU!
TANGAZO MUHIMU!
TANGAZO MUHIMU!

JAMANI KWA YEYOTE MWENYE ILE TISHETI YA CCM ILE YENYE RANGI YA KIJANI NA NJANO,
AMBAYO MGONGONI IMEANDIKWA MAANDISHI YA ULE WIMBO WA
"Iyena_Iyena,
..... Nambari Wani
..."
NAOMBA ANIKODISHIE KWA BUKU_JERO FASTA,
LENGO NIIVAE LEO MAPEMA NIKACHEKI GAME YA SIMBA NA ILE TIMU INGINE ULE.

MAANA'KE KUNA MWANA KANITONYA KUWA UKITUPIA HIYO T_SHIRT WAPITA TU GETINI BILA TIKETI NA HAKUGUSI MTU!

ANGALIZO:
LENGO NI KWENDA KUCHEKIA GAME TU!
NA SI VINGINEVYO!

>>Sina Chama Mimi Nchi Hii.<<

// senetaWaMtwiz
WAMENINUKUU VIBAYA//
.
&#128694;&#127937;&#128694;&#127937;&#128694;&#127937;
 
Last edited by a moderator:

Umekunywa supu ya kunde
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…