UKWELI NI HUU
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 262
- 412
Habari wanajamvi?
Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus nyingine mbili.
Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?
barafu
ndiyo mkuu ilikuwaje aiseeUnaniuliza Mie mkuu?
Ungewauliza wao, halafu watwambie kwanini wanaleta wahudumu wasiojua Kiwahili ama Kiingereza mwisho wananishai kutoa ishara zinazowezakutafsiriwa vibaya hasa wakati wa kuuza chai na vitafunwa vingine kwenye ndege zao
Hawakuziondoa completely, walipunguza tu.Habari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa kushirikiana na kampuni kutoka Hungary.
Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus A319 na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus A319 nyingine mbili.
Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?
Cc barafu
Mie siyajui hayo ya ndege maana Mie Ni member WA Ngolika na Sai Baba Tu basi.ndiyo mkuu ilikuwaje aisee
sasa mbona kasema ujibu?Mie siyajui hayo ya ndege maana Mie Ni member WA Ngolika na Sai Baba Tu basi.
Mie sipandagi ndege kwahiyo sijui kwakweli.Naam, nakuuliza mkuu.
Kwa manufaa ya wengi
Nimeshamjibu mbona darling!?sasa mbona kasema ujibu?
Vipanga boys vimekosa wateja ndo maana watu wanapanda Airbus.hahahahah maana yake biashara ni nzuri sana .....pigo kwa wale waomba mabaya
Nilishangaa walipoiondoa. A319 is a "horse" of airtravel.Habari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa kushirikiana na kampuni kutoka Hungary.
Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus A319 na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus A319 nyingine mbili.
Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?
Cc barafu
Mapanga boi yameflot demand ipo juu. Jamaa wamerudisha mashinehahahahah maana yake biashara ni nzuri sana .....pigo kwa wale waomba mabaya
Wamewaondoa lini? Mbona nimesafiri nao jumapili hii ya 19Wameondoa wabulgeria waliokuwa wanaongea Kiingereza cha kirusi wameleta wazimbabwe sijui watu wa wapi.
Ila abiria wachache