Wapenda dezo utawajua tu. FASTJET FASTJET kwani ndege nyingine hamzioni? achene upuuzi nyie jinga kabisa
Tatizo nyie wachaga mmezaoea kuwaibia watu na PRECISION yenu mkiona Fastjet anakamata soko mnaanza fitna. Poor Chaggaz
Wapenda dezo utawajua tu. FASTJET FASTJET kwani ndege nyingine hamzioni? achene upuuzi nyie jinga kabisa
Hivi Tanzania kuna "passenger bill of rights"? FastJet ingetakiwa ikulipie gharama za hotelini nk.
mkuu mambo ya taqwa na falcon umenikumbusha mbali sana, nakumbuka hadi city to city ilikuwa inakuja hadi Lusaka then tunaparamia hayo malori{me nayaita malori} ambayo chini kote yamejaa mizigo na spidi yake ukifika bongo salama unashukuru. kwani intercape si nilisikia inafika nakonde? au kamata juldan basi angalau uwe unalala coz safari ndefu iyoWametoa sababu gani mzee za ku cancel? Nina ticket ya tar nane october kwa safari kama yako, kama vip isiwe tabu nianze mdo mdo lusaka harare....maana ukiacha fastjet sisi walalahoi hakuna option nyingine angani,
zaidi ya taqwa na falcon...
mkuu mambo ya taqwa na falcon umenikumbusha mbali sana, nakumbuka hadi city to city ilikuwa inakuja hadi Lusaka then tunaparamia hayo malori{me nayaita malori} ambayo chini kote yamejaa mizigo na spidi yake ukifika bongo salama unashukuru. kwani intercape si nilisikia inafika nakonde? au kamata juldan basi angalau uwe unalala coz safari ndefu iyo
mkuu enzi izo mishe zilikuwa hazijasomeka so muda wa kupoteza barabarani ulikuwa kibao, na we kweli noma coz kutoka dsm to joburg via Lusaka then ukifika joburg uunganishe Durban noma mchizi, nimeshawahi kujaribu iyo sio mchezo. Unakumbuka com air walivyokua wanatumia ndege za british airways kwenda sa,walikuwa cheap kama fast jet na safari zilikuwa nite kali alfajiri or tamboDu we kweli mdau, unakumbuka hadi wakati city to city na Translux wakati wanakuja lusaka??? Vaal africa unaikumbuka?? Those were days,!!! , Yes juldan wanafika hadi nakonde ila hiyo route hawaleti full luxury busses, na sio direct bus to rsa, itabidi u connect lusaka , otherwise kama hutaki kubadili hela inabidi upande basi mpaka harare then pale upande la rsa , sijasafiri kwa basi siku nyingi, nahofu kuwa sina energy na uvumilivu iliokuwa nao kipindi kile, back in the days nilikuwa na uwezo wa kutanya round trip Dar ,durban ,Dar ndani ya wiki
mkuu enzi izo mishe zilikuwa hazijasomeka so muda wa kupoteza barabarani ulikuwa kibao, na we kweli noma coz kutoka dsm to joburg via Lusaka then ukifika joburg uunganishe Durban noma mchizi, nimeshawahi kujaribu iyo sio mchezo. Unakumbuka com air walivyokua wanatumia ndege za british airways kwenda sa,walikuwa cheap kama fast jet na safari zilikuwa nite kali alfajiri or tambo
basi lazima likupe hasira ya kutafuta pesa, tena we unayedeal na vinyago mkuu, hujawai kwenda na lori kweli kuescort mzigo wako? unajua dsm to Lusaka kungekuwa na barabara kama ya Lusaka to joburg safari iyo ingekuwa poa coz luxury buses zingekuwepoKwani mie ? na njaa!!! ilikuwa inanipeleka puta!!! , com air nawakumbuka, sikuwahi kuwatuma cos kwa wakati huo nilikuwa natoka na vinyago dar , ni kama ilikuwa haiwezekani kabisa kupanda na mabox ya vinyago kwenye ndege!!! . One. Option basi tu! Mkuu kuna safari za basi nilikuwa nafanya leo hii hata sitaki kuzikumbuka na sina tena uwezo huo..
mkuu fastjet hujawasoma vizuri vision yao, jamaa wanataka kuwa Africa low cost airline ndio maana wanajitahidi sana kufungua international routes, intl routes za Africa zina monopoly za kishenzi, unakuta route ina carriers 2, kwa kifupi hapo ni price fixing tu na manyanyaso kwa wateja, wewe kama mteja you either pay or you are grounded na sometimes unalipishwa na kunyanyaswa juu kwa kuwekwa transit masaa kibaoFastjet achaneni na international flights mjikite kwenye domestic flights given the fact that ndege za humu humu hazitumii zaid ya saa 1 so mnaweza kupiga trip muwezavyo kama abiria wapo (demand)
Hasira kwani kidogo? Kuna wakati nililazimika kusafiri na lori kweli , lakini ilkuwa risk sana hasa maeneo ya lusaka chirundu harare, yana ajali nyingi sana za malori kutokana na milima na miteremko mikali, ikafika wakati nikasema imetosha. Tz ni kama wafanyabiashara wanaigana, saivi naona kila tajiri wa basi ananunua youtong , anyway zina seat layout nzuri lakini sio confortable, juni likuwa rsa kapanda greyhound .. full hadi unachanganyikiwa kama kweli uko kwa basi... by the way unakumbuka "panthera azul " maputo to jhb?basi lazima likupe hasira ya kutafuta pesa, tena we unayedeal na vinyago mkuu, hujawai kwenda na lori kweli kuescort mzigo wako? unajua dsm to Lusaka kungekuwa na barabara kama ya Lusaka to joburg safari iyo ingekuwa poa coz luxury buses zingekuwepo
mkuu unanichekesha sana, ofa za malori kusafiri bure hadi sa me nimezitolea sana nje, unakaa boda wiki 3 mambo gani. njia ya Maputo na Botswana sijawahi pita, me ni chirundu na Victoria falls. nikiwa me ni intercape tu, greyhound nilishawatema.Hasira kwani kidogo? Kuna wakati nililazimika kusafiri na lori kweli , lakini ilkuwa risk sana hasa maeneo ya lusaka chirundu harare, yana ajali nyingi sana za malori kutokana na milima na miteremko mikali, ikafika wakati nikasema imetosha. Tz ni kama wafanyabiashara wanaigana, saivi naona kila tajiri wa basi ananunua youtong , anyway zina seat layout nzuri lakini sio confortable, juni likuwa rsa kapanda greyhound .. full hadi unachanganyikiwa kama kweli uko kwa basi... by the way unakumbuka "panthera azul " maputo to jhb?