Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 300
Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali kujiingiza kwenye biashara ni mambo ya enzi za Nyerere hayo.