Very true. Ila Sasa watu wanaangalia maslahi binafsiKama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali kujiingiza kwenye biashara ni mambo ya enzi za Nyerere hayo.
Dar-Johannesburg-Dar niliwahi kwenda kwa 250,000Kweli kabisa,hata mm nimeimiss Dar-Mbeya go and return 176,000/-
Ilikuwa mkombozi,hata ambao tunaunga unga tukifanikiwa angalau kupanda ndegeDar-Johannesburg-Dar niliwahi kwenda kwa 250,000
Zama zimeisha sasa ni wakati wa kuvuna.Ilikuwa mkombozi,hata ambao tunaunga unga tukifanikiwa angalau kupanda ndege
Kwa namna ambavyo ATCL haina plan ya biashara i guess zikija kampuni kushindanishwa yale ma dreamliner, Boeing na Airbus zita-park pale Terminal 3 hadi siku ta kihama!!Kama serikali ipo serious na biashara huria,basi ilikuwa ni wakati mwafaka kujadiliana na Fastjet ili warudi kuendelea na biashara yao ya usafirishaji nchini.
Jamaa walikuwa smart sana na waliliteka soko vizuri sana. Bei zao affordable, na walizingatia muda kweli kweli.
Mambo ya serikali kujiingiza kwenye biashara ni mambo ya enzi za Nyerere hayo.