Hatutaki ushindani ATCL inatosha. Nakuapia hawawezi kuiruhusu ifanye kazi! Utakuja niambia...Kwenye biashara yeyote USHINDANI ni kitu muhimu sana. Hapo awali tulikuwa na mashirika ya ndege ya ATCL, PRECISION NA fASTJET kwa safari za ndani na ushindani ulikuwa mzuri sana. Baadaye Fastjet ilijitoa kutokana na sababu mbalimbali za kiutendaji lakini tulielezwa kuwa muda siyo mrefu watarudi tena kwenye usafiri wa anga kwa safari ya ndani ya nchi. Ni muda muafaka sasa Fastjet wakarudi kutoa huduma ya usafiri wa anga ili kuwe na ushindani kama ulivyokuwa hapo mwanzo.
Hata hiyo Precision Air inabidi wawe makini mno manake jiwe hakawii kuwaua bila huruma kama alivyofanya kwa wapinzani.Kwenye biashara yeyote USHINDANI ni kitu muhimu sana. Hapo awali tulikuwa na mashirika ya ndege ya ATCL, PRECISION NA fASTJET kwa safari za ndani na ushindani ulikuwa mzuri sana. Baadaye Fastjet ilijitoa kutokana na sababu mbalimbali za kiutendaji lakini tulielezwa kuwa muda siyo mrefu watarudi tena kwenye usafiri wa anga kwa safari ya ndani ya nchi. Ni muda muafaka sasa Fastjet wakarudi kutoa huduma ya usafiri wa anga ili kuwe na ushindani kama ulivyokuwa hapo mwanzo.