Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,974
Usafiri wa ndege unaweza kuwa rahisi hapa Tz kama kungekuwa na ndege nyingi kuleta ushindani. Lakini bei inakuwa kubwa kwa sababu ya kutokuwepo ushindani. Kumbukeni ile ndege ya akina Diallo ilikuwa 75000 MWZ - DAR lakini waliihujumu, sasa ni grounded!
Hey, but muwe macho manake tatizo kubwa kwa jamaa wa budget airlines, wakati mwingine uamua kuskip services, kukwepa gharama, na kumaximize profit sasa hapo, du ni kuomba Mungu kwenye hizo trip wasiwe wanakwepa scheduled services za ndege zao! Anyway, good start!Jamani naomben ukweli katika hii nami nipande ndege kidigo nitie baraka maisha yangu npo mwanza familia ipo dar
acheni ukauzu ,midomo si itanuka
Kwa hesabu ya haraka haraka Nauli + VAT + 20kg ya mizigi itakuwa Tshs 45,760. Msosi utajiju. Sa masaa mawili au moja nalo unakula nini kama sio uroho tu!
Jamani sidhani kama sheria za usafiri wa anga unaruhusu mtu kupanda na chakula ndani ya ndege
Ninavyojua mimi, ni kuwa hakuna VAT kwenye usafiri wa umma (basi, treni, ndege etc). So, kama wamesema nauli ni TZS 32K, basi ni hiyo pekee na haiwezi kuwa na VAT....labda kama alikuwa anamaanisha "airport tax" ambayo mara nyingi ni nominal amount (ilikuwa elfu tano lakini kuanzia 1st July 2012 ni elfu kumi kwa safari za ndani)Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT.
Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.
Usafiri wa ndege unaweza kuwa rahisi hapa Tz kama kungekuwa na ndege nyingi kuleta ushindani. Lakini bei inakuwa kubwa kwa sababu ya kutokuwepo ushindani. Kumbukeni ile ndege ya akina Diallo ilikuwa 75000 MWZ - DAR lakini waliihujumu, sasa ni grounded!
Tena waswahili wengi wakiwekewa magazeti ya udaku dah itakuwa burudani kwaoumesema ukweli,uroho tu!!unapanda na pipi Toffie tu inatosha!!!mbona tunakaa kwenye foleni masaa 3 hata karanga watu hatununui na zinapitishwa dirishani?waweke tu magazeti inatosha
Ninavyojua mimi, ni kuwa hakuna VAT kwenye usafiri wa umma (basi, treni, ndege etc). So, kama wamesema nauli ni TZS 32K, basi ni hiyo pekee na haiwezi kuwa na VAT....labda kama alikuwa anamaanisha "airport tax" ambayo mara nyingi ni nominal amount (kama elfu tano au sita hivi kwa safari za ndani)
Asante. Ni kweli mkuu sasa ni TZS 10K.
Hapo kwenye bold, nauli zimepanda kuanzia mwaka huu wa bajeti. Kwa wasafiri wa ndani ya nchi ni 10,000
acheni ukauzu ,midomo si itanuka