Fastjet Passengers in Tanzania Reach 26,000

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
LOW cost airline Fastjet is reporting a huge demand for its services with passenger load factor standing at 81 per cent having carried 26,387 passengers in February.
"In response to this demand, Fastjet is increasing its capacity by 50 per cent and launching two more domestic routes in Tanzania. From March 18 Fastjet will operate daily flights between Kilimanjaro and Zanzibar and Kilimanjaro and Mwanza," said CEO Ed Winter.
Load factor is the number of passengers as a percentage of the number of available seats flown. The airline which is yet to start operating in Kenya due to licensing issues started operations in Tanzania in November.
 
Waziongeze tu,tunachohitaji ni huduma tunazozimudu na kwa wakati muafaka.
 
[QUOTE=Tunashukuru kwa mafanikio haya . Lakini sisi kama Watanzania tujiulize kwa mapana-Mr Fast jet anaenda MWZ kwa Tshs 32,000.00 lakni AirTz ya taifa ni Tshs 200,000.00 na pia Mr PressionAir mbona gap ni kubwa sana hakuna uwiano kabisa.Aidha kuna upande fulani unatunyonya au upande fulani huduma ni hafifu na usalama si sawa.Wana mtandao fanya utafiti.Si chote kingaacho ni dhahabu.
 
Kama kumbukumbu zngu ziko vzuri,Fastjet walisema wamefikisha wateja 74999, na wakasema mteja wa 75K atapewa route ya bure. Then kuna mama anaitwa Veronica akawa wa 75K,jamaa wakasema pamoja na kusafiri bure,pia ndege mpya ya Airbus wanayoileta watai-name after her.
 

Hiyo figure ni ya mwezi Februari pekee,,, 75,000 waliifikisha wiki mbili zilizopita kama jumla toka wameanza biashara.

Tunawashukuru kwa changamoto waliyoileta na kufanya usafiri wa ndege affordable.
 
flights between Kilimanjaro and Zanzibar and Kilimanjaro and Mwanza mbona niwachagaa tu wanapatiwa huu usafiri au wao ndio wanapanda haya makitu sana,manake sioni ruti za mbeya to mwanza au mtwara to zanzibar
 
flights between Kilimanjaro and Zanzibar and Kilimanjaro and Mwanza mbona niwachagaa tu wanapatiwa huu usafiri au wao ndio wanapanda haya makitu sana,manake sioni ruti za mbeya to mwanza au mtwara to zanzibar

Na ukichunguza wanaosafiri kwenda Mbeya kutoka Dar na kwingineko ni wengi sana...PercisionAir wameliona hilo na ndo maana wamefungua hiyo route, FastJet wakiingia hapo itakuwa poa sana!
 


hao ni abiria wa FEBRUARY rudia kusoma vizuri mzee
 
 
hao ni abiria wa FEBRUARY rudia kusoma vizuri mzee
Hakuna mahali nimekataa idadi hiyo ya abiria 26+,nilichofanya nimeandika in general idadi ya abiria wa Fastjet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…