Fastjet Tanzania Posts Record 6-month Losses - $8.9 Million

You're only monopolizing losses.
ATCL will absorb the losses of Fastjet and Precision.
Tanzanian market is not big or rich enough to sustain an airline.

Tutakubishia hadi mishipa itoke lakini ndio ukweli....miaka ile wakati Precision anatamba bei za Mwanza au KIA zilikuwa Tsh500k hadi Tsh800k kwa return ticket.

Baada ya ujio wa Fastjet kisha ATC bei zimeshuka kwa kiwango kikubwa....ukiona mteja anatamani mtoa huduma awe na market monopoly jua kuna shida ya fikra hapo
 
Tanzania ni nchi masikini, hivi munategemea nani apande ndege kama sio watalii na govt officials na labda tajiri kama Mo aliyetekwa nyara? Kama 51% ya wanaanchi ni masikini usitegemee any airline to make any profit hata iwe local.
 
Kama walikuwa na losses. Basi kwa sasa ni zaidi. They have to exist the market and let ATCL play the role. Thats what we have been wanting. We want to monopolise the market, especially the local market. Next ni precission.
unatamani market monopoly by the gvt ktk karne hii ya 21[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
mulisaaa unaijua biashara ya ndege wewe ama unaongea ushabiki?
mkuu aijulie wap?.......


watanzania tunadhan hii dreamliner italeta faida directly........ nilidhan watawekeza nguvu ili tuone multplier effect lkn this way sijui
 
Kwanza kwenye Airline industry ukiangalia kwa undani kifo cha mwenzako sio furaha kabisa. Low carrier kama Fast Jet ambapo equipment zao ni size ya kati fuel consumption yao ni ndogo halafu leo hii anahesabu hasara, wewe mwenye equipment kubwa na fuel consumption yako ni kubwa kwa maana hata ukipeleke ndege matengenezo gharama kubwa na unaruka tu Dar/Mwz/Dar huku Cycle Per second ya injini inaendelea kusoma, unajihesabu upo salama kweli!!!!! Aisee!!!
 

wacha uongo
19-Nov-2018 2:36 AM
fastjet Group stops funding to fastjet Tanzania, in share sale agreement with local management

fastjet Group announced (16-Nov-2018) it decided to stop all funding to fastjet Tanzania and its operation in Tanzania now "represents a discontinued business". fastjet entered a conditional share sale agreement with local management in Tanzania in relation to the sale of its interest in the holding company of fastjet Tanzania. The Tanzania business delivered a trading loss of USD4.7 million in the four months ending Oct-2018, which the company attributed to the deployment of Boeing 787 capacity on domestic routes "at below cost yields" by Air Tanzania and regulatory delays in deploying additional aircraft.

With the exception of Tanzania, trading for the period was "broadly in line with management expectations". Performance improvement is ongoing in Zimbabwe and Mozambique. FedAir in South Africadelivered a trading profit while providing a base from which the fastjet brand can gradually enter the market in 2019. fastjet CEO Nico Bezuidenhout said: "Business in our continuing operations in Zimbabwe and growth markets of South Africa and Mozambique is on the right track and revenues from these markets now cumulatively exceed that generated in Tanzania... The steps taken in acquiring the fastjet brand in 2017 allows fastjet to change the deployment model in Tanzania away from one where we assume equity risk and funding obligation, in its stead aiming to deploy the brand in Tanzania on a franchise basis". [more - original PR] [more - original PR - II]

fastjet Group stops funding to fastjet Tanzania, in share sale agreement with local management | CAPA
 

Uwongo uko wapi?

January - June: $8.9 million loss
July - October: $4.7 million loss

Hasara ya $13.6 million na mwaka haujaisha.
 
Kwa ushamba wako unadhani wakeshindwa ushindani??? Kwani hap Air Tanzania wana-make profit..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…