Fastjet use which aircraft to Jo'Burg

stepper

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
112
Reaction score
56
Habari wana jamvi. Naomba mwenye taarifa anijuze Fastjet wanatumia ndege aina gani kwasafari za Africa Kusini? Bei zao ziko poa sana kama wanatumia ndege zakueleweka ntafanya biashara nao. Shukurani kwawachangiaji.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
same planes.. airbus 320 series
 
"Pia tunazingatia kwenye aina moja ya ndege, ambayo ni Airbus 319 katika kampuni yetu, hii inapunguza gharama pia kwani tuna aina moja ya vipuri na wataalamu wa ndege." Fastjet blog. Nachotaka kukuambia ni kuwa katika route zao zote wanatumia Airbus 319 tu.

Sawa mkuu ahsante sana

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sidhani kama hii habari imekusaidia kujua ubora wa ndege hiyo ya air bus 319. Unless wewe ni msafiri wa mara kwa mara na hii airline ya fastjet, na hivyo unazijua vizuri!

Sijawahi kusafiri nandege aina yaAir bus zaFastjet ila natumia usafiri wa angani mara kwa mara . Naomba unifafanuria ubora wahii 319 ukilinganisha nandenge zamashirika mengine kama zaKenya airways na precision. Kwamufano kwenye stability and reliability kwa abiria. Ahsante

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nakujibu kama ulivyouliza.
Fastjet (FN) wana aircraft aina za Airbus tu tangu wameingia Tanzania. Na ni A319 na A320.
Kenya Airways (KQ) wana range of equipments wanazotumia including Boeing, Embraer, Airbus, na wametoa order za dreamline.
Precision Air (PW) kwa sasa wanatumia ATR tu.
Kwa kuwa umeuliza ubora wa Airbus A319 jibu ni kuwa hizo aina za ndege ziko poa. Reliable and stable pia ila inapokuja suala la maintenance they are costly.
Otherwise ziko poa hazina tatizo. Kama una swali lingine uliza ntakujibu
 
Hapo nimekuelewa vizuri ntakuwa natumia usafiri waFastjet kuenda nakurudi Africa kusini. Nashukuru sana.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hapo nimekuelewa vizuri ntakuwa natumia usafiri waFastjet kuenda nakurudi Africa kusini. Nashukuru sana.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Kwa Reliable and stable mimi naona KQ na SA wapo vizuri sana. Hata hivyo sijawahi kutumia Fastjet, itanibidi nijaribu. Vipi zinakwenda Jberg tu? au kuna Destination nyingine kwa Africa?
 
wewe nawe una mbwembwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…