Unatakiwa kufanya (booking + kulipia) mapema sana, at least mwezi na nusu kabla ya kusafiri,na ukumbuke bei inayowekwa kwenye matangazo ni kwa idadi flani tu ya viti, na ni duty free..!!ingiwa kwenye website yao mbona kila kitu kimo mule!! Africa's Low Cost Airline - fastjet
Mkuu hawa jamaa si wasanii mm huwa naenda Dar na kurudi hapa mbeya kwa 90,000 kamanda na kesho kutwa nasafiri tena kwa 69000 one way mkuu jipange na uwe una visit website yao mara kwa mara ukienda kwa agent imekula kwako na uliopie kwa mpesa kaka au tigo pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.