Mkuu hawa jamaa si wasanii mm huwa naenda Dar na kurudi hapa mbeya kwa 90,000 kamanda na kesho kutwa nasafiri tena kwa 69000 one way mkuu jipange na uwe una visit website yao mara kwa mara ukienda kwa agent imekula kwako na uliopie kwa mpesa kaka au tigo pesa