Fastjet

Fastjet

Kingdom_man

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
405
Reaction score
462
Wadau
Nafikiria kununua shares za Fastjet. Kwa fikra zangu ni kwamba hii kampuni inakuwa kila kukicha wateji wengi kwa kuwa ni budget airline. Sasa wameanza safari za South Afrika na Mbeya hivi karibuni. Na wanampango wa kuanzisha FastJet Nigeria, Congo, S.A na Nchi nyingine za Afrika.
For long run profit vipi ninunue shares hizi au hii kampuni haitafika mbali? Maana Afrika fitna sana! Nauliza kabla Wadua mnipe Go-Ahead
So far FastJet doesn't make any profit. Shares zipo bei poa kidogo Tshs 6700 per share
Ushauri?
1385487035947.jpg
 
Mh..kuwa makini kidogo. Biashara ya airline ni ya kichaa sana,unaweza ukapoteza hela zako bure..kuanzisha safari za south na mbeya wakati lile jet likakanyaga mafuta hatari..hakuna cha faida kaka
 
Mh..kuwa makini kidogo. Biashara ya airline ni ya kichaa sana,unaweza ukapoteza hela zako bure..kuanzisha safari za south na mbeya wakati lile jet likakanyaga mafuta hatari..hakuna cha faida kaka

Asante kwa USHAURI Mdau. Nipo 50/50 ndio maana nikaona niombe ushauri kwanza!
Thanks.
 
kununua shares ni aina 1 ya kuwekeza indirectly,fanya due diligence zako kuhusu management team,lakini binafsi low cost airline kwa Africa its a hit,fast jet sa return ticket laki 8,wakati sa airways laki 8 one way,jamaa wataiteka Africa if these monopoly operated airlines don't want to change
 
Real talk. Thanks Mjasiriamali. God bless
 
Back
Top Bottom