Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 462
Mh..kuwa makini kidogo. Biashara ya airline ni ya kichaa sana,unaweza ukapoteza hela zako bure..kuanzisha safari za south na mbeya wakati lile jet likakanyaga mafuta hatari..hakuna cha faida kaka
kununua shares ni aina 1 ya kuwekeza indirectly,fanya due diligence zako kuhusu management team,lakini binafsi low cost airline kwa Africa its a hit,fast jet sa return ticket laki 8,wakati sa airways laki 8 one way,jamaa wataiteka Africa if these monopoly operated airlines don't want to change