Fataki VS suga mami.

Fataki VS suga mami.

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,124
Ujana (18-35) ni wakati wa kutengeneza maisha yako ya baadaye. katika elimu au ktk shughuli za maendeleo, ukicheza ktk kipindi hiki finali yako itakua ngumu sana. Nikiwaangalia huyu Fataki na suga mama waliutumia muda wao wa ujana kutafuta elimu au pesa, kama ujuavyo elimu na kutafuta maisha haviendani na starehe na mapenzi, nadhani kila mwana Jf atakuwa anamjua mtu hata mmoja ambae maisha yake yameharibiwa na mapenzi au starehe wakati wa ujana. Mwisho naacha swali. Ni bora kukomaa ktk elimu au shughuli fulani za maendeleo wkt wa ujana wako na uwe ktk hatari ya kuwa Fataki/suga mama AU kujiachia na mapenzi na starehe na uwe ktk hatari ya kuwa maskini ktk maisha yako ya baadaye?
 
Thanks mkuu kwa ushauri,ila nadhani si tu walichezea ujana wao,wengine wanaendekeza tu ujinga na mazoea yasiyofaa.
 
Back
Top Bottom