Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM

Your browser is not able to display this video.
 
Acha longolongo wahindi wanafanya sherehe zao za kidini
 
Acha longolongo wahindi wanafanya sherehe zao za kidini
Hamuamini macho yenu kwa kinachoendelea πŸ˜‚πŸ˜‚

Na bado yani, makolo mwaka huu mpaka muite maji mma πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga ni noma.. Yanga ni Wanaume wa nchi hii.. kama we unajiamini sema nyooooooo tukuoneshe wanaume wa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…