Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wadau wa Soka la Bongo, Mmesikia huko?
Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.
Wapo Omary Kaaya, Athumani Kihamia, Hussein Nyika wote wamewahi kuitumikia Yanga na kufanya Klabu hiyo ya Walima Alizeti kuwa kama Kariakoo Combine 👀
Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed 'Mo' Dewji, ameteuliwa kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.