LGE2024 Father Kitima: Wizi wa kura ni dhambi, Viongozi wa dini mmekaa kimya!

LGE2024 Father Kitima: Wizi wa kura ni dhambi, Viongozi wa dini mmekaa kimya!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato ulivyo.

Kitima amehoji maswali kuhusu ukimya wa viongozi wa dini kwenye uchaguzi akisema kuwa viongozi wa dini wamekuwa kimya pale kunapotokea wizi wa kura ilhali wizi wa kura ni dhambi.

Soma pia: Padre Dkt. Kitima: Aliyemuua Kibao tunamlaani, amefanya kosa baya, ni chukizo kwa Mungu

My take:
Kwanini viongozi wengine wa dini hawajitokezi kupinga yanayoendelea kama Father Kitima?

 
Back
Top Bottom