Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato ulivyo.
Kitima amehoji maswali kuhusu ukimya wa viongozi wa dini kwenye uchaguzi akisema kuwa viongozi wa dini wamekuwa kimya pale kunapotokea wizi wa kura ilhali wizi wa kura ni dhambi.