Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hilo kweli lipo.Hapa bongo hiyo ikija bado kuna wanaume wachache wataipinga ili kuepuka fedheha ya kujukikana ugumba wao
AhhahahNo wapumbavu kitanda hakizai haramu swali ni moja ulilala na huyo mwanamke au hukulala? Kama ulilala naye kubali yaishe kitakachozaliwa cha kwako
Watetezi wa haki za wanawake watakubali kweli?Hii kitu ni kuiweka kwenye sheria za nchi kabisa.
Sikubaliani itazalisha Rushwa. Wanaume wakwepa majukumu ya kulea watahonga wapima DNA kukwepa wajibu ili wapimaji watoe jibu kuwa mtoto sio wake.Hii kitu ni kuiweka kwenye sheria za nchi kabisa.
Ahhaha,wako radhi wagugumiie chini kwa chini kuliko kuchekwa hadharaniHilo kweli lipo.
Bunduki zisizo na risasi.
Wamama hawawezi kuonga? adhabu kali itatolewa kwa atakaye pindisha matokeo.Sikubaliani itazalisha Rushwa. Wanaume wakwepa majukumu ya kulea watahonga wapima DNA kukwepa wajibu ili wapimaji watoe jibu kuwa mtoto sio wake.
Hilo wazo la kijinga
Mmmmm ndio ibaki kama ilivyo sasa hakuna cha kupima DNA wala niniWamama hawawezi kuonga? adhabu kali itatolewa kwa atakaye pindisha matokeo.
Mawazo ya kitaahira kabisa. No wonder ni mwanachama wa ccm.No wapumbavu kitanda hakizai haramu swali ni moja ulilala na huyo mwanamke au hukulala? Kama ulilala naye kubali yaishe kitakachozaliwa cha kwako
Huyu atakuwa ni mmoja wa waliobambikiza wanaume watoto.Ni wapumbavu kitanda hakizai haramu swali ni moja ulilala na huyo mwanamke au hukulala? Kama ulilala naye kubali yaishe kitakachozaliwa cha kwako
Huyo mume wako umembambikia wangapi?...Ni wapumbavu kitanda hakizai haramu swali ni moja ulilala na huyo mwanamke au hukulala? Kama ulilala naye kubali yaishe kitakachozaliwa cha kwako
Mbona unapinga DNA? Au mdangaji wewe? Mumeo ni mgumba nini?Mmmmm ndio ibaki kama ilivyo sasa hakuna cha kupima DNA wala nini