Fatma Ferej: Ni Faraja Kwetu Serikali Kupitia ATCL Kwenda Kuwachukua Watanzania Wenzetu

una uhakika wa hayo ya msumbiji?
 
P

Jambo kama hulijui kaa kimya ebu uliza wenyej mikoa ya mpakani na msumbiji ni malori mangap ya jeshi yalikwenda kubeba watanzania toka msumbiji kuwarudisha nyumban uliza watu wa ruvuma na mtwara
Hamnaaaaa banaaaaa. Shut up!
 
Si mlipinga Magufuli aliponunua ndege?
Hakuna aliyepinga manunuzi ya ndege,, isipokuwa, mjadala ulikuwa kwenye utaratibu gani wa manunuzi ya ndege hizo!! Rejea majadiliano ya kibunge!

Tatizo la watanzania sisi mtu akitoa wazo kwa maon yake anaonekana anapinga kwa sababu tu hayuko upande wa chama tawala!

NDEGE HOYE
 
Mwongo Zitto alipinga
Tarehe 24 February 2019 kwenye akaunti.yake ya Twitter aliandika hivi

Mtu ananunua ndege badala ya vifaa vya zahanati, hii ni akili au matope." "Mtu ananunua ndege badala ya vifaa vya zahanati, hii ni akili au matope." "Mtu ananunua ndege badala ya vifaa vya zahanati, hii ni akili au matope."
 
Wazazi watakoma nwaka huu,ile taasisi ya Global imewataka kulipia Usd 1300 kwa kila mwanafunzi ili warejeshwe home,hii imekaajee wajameni..?
Si tunao mfuko wa maafa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kongole kwa serikali ya mh.Samia 👊

#Siempre JMT🙏
#Siempre SSH🙏
 
Magufuli hajanunua ndege. Ndege zimenunuliwa na serikali ya Tanzania. Kilicholalamikiwa ktika zoezi hilo ni ukiukwaji wa taratibu za manunuzi.
Hujui saga lilikuwa Ndege mbovu, hadi zikaitwa panga boy?
 
Hujui saga lilikuwa Ndege mbovu, hadi zikaitwa panga boy?
Hajui Huu upinzani hasa Zitto kabwe alipinga mno hadi kuziita mitumba!!

Hongereni wapemba wenye akili mliojiunga ACT wazalendo upeo wenu mkubwa kuliko wa upinzani walio Tanzania bara ngozi nyeusi akina Zitto Kabwe,Mbowe,Tundu Lisu,Msigwa ,Lema ,wenje no

Nashauri msajili alazimishe kila chama cha siasa kiwe na wapemba waarabu hasa Chadema ili waongeze watu wenye akili chamani sasa hivi hali mbaya kwao

CCM tunao kibao ONA sasa ACT wazalendo kunaanza kuonekana watu wenye akili lakini kama watabaki hawahawa akina Mnyika havitafika mbali

Kibao unakuta kimejaa waswahili watupu wenye upeo mdogo
 
Kwani serikali ya Tanzania ndiyo iliyoleta vita, watajua wenyewe na livita lao.
 
Akili kubwa huona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…