Fatma Karume akwaa kizingiti kingine, Jamhuri yakata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu


..hivi ni nani aliyewazuia wasomi wa sayansi, kilimo, teknolojia, ... kuchangamka na kuwa wanaharakati kulingana na taaluma zao?

..tusiwalaumu wasomi wanaharakati wa sheria kwa KUJITAMBUA na kupigania haki zao.

..wasomi ktk taaluma nyingine wanatakiwa kuwa-encouraged wachangamke kitaaluma.
 
Yaani nyie legacy ya Mwendawazimu mnashida sana, hata iweje KICHAA kafa yaani alishakufa , kuoza na kunuka, tukaitia mpaka gundi mdomoni. TUKAFUKIA [emoji23]
Kujipa moyo unaruhusiwa .
FUNZA tu wanatoka kwa MAVI yake..
DADEKI..!
Sasa mbona bado mnalialia kwamba mnabanwa?

Mtapata akili tu baadae
 
Huyu dada atashinda, siku zote shetani huwa hataki maendeleo ya watu naona watu bado wanaishi enzi ya dikteta.
Hizi ni zile rufaa mfu za kupoteza muda. Mh Rais alisha waambia waangalie siyo kila rufaa ni ya kusajili
Huyu msajili bado ni product ya mwends zake.
Kwani ni uongo Fatma alifungiwa bila kusikilizwa?
 
Hizi ni zile rufaa mfu za kupoteza muda. Mh Rais alisha waambia waangalie siyo kila rufaa ni ya kusajili
Huyu msajili bado ni product ya mwends zake.
Kwani ni uongo Fatma alifungiwa bila kusikilizwa?
Aibu kubwa sn kwa mahakama hizi za CCM
 
Hawa kina Feleshi taa za kukaa ofisini ex imesha waka. Badala ya kuweka hidtotia yake vyema dakika hizi za mwisho naona bado ana ichafua. Historia ita mhukumu
 
Kuna viumbe vinaitwa MaCCM vina roho dhaifu sana .
Yaani Shangazi wa Taifa kukataa ushenzi wao, wanataka kumuonyesha roho mbaya.
Nchi ya hovyo sana hii.
Na bi, Chokochoko yupo yupo tu mara atubanie sauti. mara atulegezee macho.
Ahahahaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Duuhh
 
Fatuma atashinda kesi na Serikali itamlipa fidia kubwa mno. Subirini
 
Shangazi amesharejeshewa uwakili wake?
 
"hata iwapo kesi hii itashindwa, ataendelea kupambana nayo, rais akiondoka madarakani mwaka 2020 au kama ataondoka 2025 au kama mahakama itabadilika ataendelea kupambana”
Hivyo tu unamfungia mtu asipate riziki! Mpaka unakata rufaa ili asiendelee kupata riziki, du ama kweli JAMHURI Ana roho mbaya mpaka sometimes shetani huwa anawakana!
 
Kama laiti wale wasiojulikani wangekuwa na weledi japo wa kiasi kidogo, wangejibadilisha ili wawe majaji halisi.

Hawa wasiojulikana ambao marehemu aliamua kuwapeleka mahakamani kwa nia ya kuharibu mfumo wa haki, wengi wao inaonekana hata hawajui kuwa aliyewapeleka huko hayupo Duniani, na huyu aliyepo sasa, japo inaonekana anapenda awatumie, wasichojua ni kuwa hana uwezo wa kuwalinda kama alivyokuwa marehemu. Marehemu aliweza kuwalinda majambazi aliowaidhinisha, kama akina Sabaya, na hakuna aliyeweza kuwabughudhi. Hangaya hana uwezo wa kuwalinda watu aliowatumia katika uovu kwa kiwango cha marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…