Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

Nchii hii imerudi miaka 50 nyuma. Upumbavu unaofanyika Tanzania awamu hii hata wajukuu zetu watakuja kutudharau sana.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Wajumbe wa kamati ni hawa Jaji wa MAHAKAMA kuu,AG au DPP au deputy attorney general na WAKILI kutoka TLS
 
Wajumbe wa kamati ni hawa Jaji wa MAHAKAMA kuu,AG au DPP au deputy attorney general na WAKILI kutoka TLS
Weka Majina yao wote hapa ndugu!!

Mheshimiwa sana kigogo 2014 . Kama umepitia humu naomba kwa Heshima fuatilia majina ya hii kamati iliyomvua uwakili fatma karume na fanya uchambuzi maalumu juu ya wajumbe wa hii kamati
 
Kamati ya Maadili inahusisha wajumbe 3 wafuatao:

1. Judge of the High Court.

2. Attorney General, Deputy Attorney General, or DPP.

3. Practicing Advocate.

cc Beatrice Kamugisha
1. Judge mkuu sio judge of the high court, alikuwa mhadhiri wa sheria UDSM
2. Attorney General hana qualification, alikuwa lecture UDSM
3. Member of the Tanganyika Law Society hajulikani ni nani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ametolewa na 'Kivuli' cha 'Mkemia' ambacho kipo sana katika Mahakama za Tanzania tokea mwaka 2015 hadi sasa 2020 kwa Mpango 'Maalum' tu.
 
Hao jamaa wanamsubiri Lissu nae wamfanyie ' cha wajumbe'.
 
The Tanganyka Law Society ilipashwa ifutiliwe mbali haina msaada
Kutwa vikao Arusha (kuton zana)
Huyu aliyesaini nilidhani watu waliona anafaa kumbe ni wale wale...
Fatma will shine
Shame on TLC ni haya tu!
 
Watu wanashughulikiwa kipindi cha uchaguzi. Imagine Sasa Jamaa akipata 5 mingine. Nafikiri itakuwa bora kuishi Somalia.....!!
 
Who said nobody cares? Wewe hapo au?
 

Siwezi kukubali au kukana conjecture yako kwani sijui huwa walinzi wangapi kwenye eneo hilo, eneo lenyewe lina ukubwa kiasi gani, na vile vile utaratibu wa walinzi wale ni wa namna gani, yaani kama huwa ni wa kukaa sehemu moja kama walinzi wa benki au ni wa kufanya doria (patrol) kwenye eneo lote la makazi hayo. Kama wao wanafanya patrol eneo zima la makazi, kutowakuta katika sehemeu moja ya eno hilo siyo lazime iwe na maana ya kuwa wameondolewa.
 
Kwa hiyo wewe kilaza wa Lumumba tuambie Nani Alimpiga risasi Tundu Lissu???

Kwa nini hadi leo polisi hata Lissu tu hawajamuhoji??? Kwa nini walinzi kwenye nyumba za Viongozi alikokuwa anakaa Lissu waliondolewa??? Kwa nini mlimnyima matibabu Lissu???
Idadi ya wajinge imeakuwa inaongezeka sana Tanzania kiasi kuwa hawawezi kufikiri namna ya kutoa hoja bali lugha za mtusi tu. Kama mimi ni Kilaza wa Lumumba basi nina afadhali kidogo kuliko wewe kicheche wa Ufipa!
 

..area D aliposhambuliwa TL kuna walinzi wa geti kuu. walinzi hao waliondolewa siku ya tukio.

..pia kuna walinzi ambao wako assigned kwenye nyumba za viongozi wakiwemo mawaziri. hao nao walikuwa wameondolewa.

..Je, mhanga wa tukio lile akidai waliomshambulia waliwezeshwa/walishirikiana na wenye mamlaka na walinzi wa eneo la tukio atakuwa amekosea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…