Anapatikana UK na jamhuri ya watu wa X.Hivi alipotelea wapi huyu?
Samia alipoingia tu, akapotea. Hata huko X hakuwa yule tena wa zamani.Anapatikana UK na jamhuri ya watu wa X.
Subiri raisi akitoka bara utamuona tenaSamia alipoingia tu, akapotea. Hata huko X hakuwa yule tena wa zamani.
Aliwashtukia udini wenu,akakausha,rais akiwa mzanzibar basi TEC na watanganyika kudai tanganyika kumbe nyuma ya pazia tatizo diniNi mpigania haki pale kunapokuwa na Rais kutoka Bara ila Rais akitoka upande wake huwezi kumsikia
Atakuja kupewa vyeo ila ushawishi wake katika siasa na harakati ndiyo umeshakufa hivyo. I guess ni gharama ambazo watu kama hawa wapo tayari kuzibeba.Subiri raisi akitoka bara utamuona tena
Hakuna Tanzania bara kwenye ulimwengu wa kisheria.Fatma Karume alisimamishwa kufanya kazi za uwakili kwa upande wa Tanzania bara tangu mwaka 2019 akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG) Dkt Adelarus Kilangi aliyeteuliwa na rais John Pombe Magufuli mnamo February Mosi 2018 kuwa hana vigezo.