Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mwanasheria Fatma Karume ameelezea kwa kirefu kisa kimoja cha utapeli wa nyumbani ya mirathi na kesi iliyofuatia mahakamani iliyodumu kwa muda wa miaka 20!
Kwa mfumo huu wa mahakama kuendesha kesi kwa miaka kuna watu wengi sana watakuwa wanateseka kuzipata haki zao, labda ndio maana watu huwa wanaona bure tu kukimbilia kwa wanasiasa kama Makonda na Jerry Silaa. Inasikitisha sana.