Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Jana nilikutana na Fatma Karume katika Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation.
Nilimkumbusha siku nduguze Wakili Awadh, Babu Ali, Salim Bimani na mimi tulipomsindikiza studio za Channel Ten kufanya kipindi kuhusu uchaguzi wa Zanzibar mwaka wa 2015.
Fatma Karume alikuwa na Mzee Joseph Butiku na niliwaomba kuwapiga picha.
Nimemsikiliza Fatma Karume na pia Mansour Yusuf Himld wakimzungumza Maalim Seif.
Hakika Maalim Seif kaacha urithi mkubwa Zanzibar.