Fatma karume, mansour yusuf himidi na siasa za zanzibar

Fatma karume, mansour yusuf himidi na siasa za zanzibar

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
FATMA KARUME, MANSOUR YUSUF HIMID KATIKA SIASA ZA ZANZIBAR

Jana nilikutana na Fatma Karume katika Uzinduzi wa Maalim Seif Foundation.

Nilimkumbusha siku nduguze Wakili Awadh, Babu Ali, Salim Bimani na mimi tulipomsindikiza studio za Channel Ten kufanya kipindi kuhusu uchaguzi wa Zanzibar mwaka wa 2015.

Fatma Karume alikuwa na Mzee Joseph Butiku na niliwaomba kuwapiga picha.

Nimemsikiliza Fatma Karume na pia Mansour Yusuf Himld wakimzungumza Maalim Seif.

Hakika Maalim Seif kaacha urithi mkubwa Zanzibar.

Screenshot_20211106-233231_Facebook.jpg
 
..angalau CCM wangetubu kwa dhuluma walizomtendea Maalim Seif Sharrif Hamad.

..kitendo cha kuwakaribisha CCM na kuwapa nafasi ya kuzungumza kinafiki kuhusu Maalim Seif kimenikera.
 
Back
Top Bottom