Fatma Karume na wenzake waangukia pua

Fatma Karume na wenzake waangukia pua

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
WAANGUKIA PUA

- ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao

- walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa

- Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai, awaambia Mahakama Tanzania ziko huru na zinaweza kusikiliza kesi hiyo

- Fatma Karume aumbuliwa alipotaka mahakama hiyo iamini kuwa amevuliwa uwakili kwa sababu ya serikali badala yake akaambiwa amevuliwa kutokana na yeye kukiuka maadili

- Mwambukusi aambiwa hata CANADA wakili haruhusiwi kuongea na vyombo vya habari akiwa na joho la kiwakili linalotumika Mahakamani

- Ushahidi wa Tito Magoti nao wapigwa chini, waambiwa waheshimu mahakama na sheria

Na. Mwandishi Wetu,

KUJIFANYA unajua kila si jambo jemba, waswahili wanaeleza kitendo hicho ni kimbelembele. Ndivyo ilivyowakuta mawakili waandamizi akiwemo Fatma Karume, Boniface Mwabukusi ambaye ni Rais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika kuangukia pua nchini Canada.

Hali hiyo inatokana na mahakama Kuu ya Ontario nchini Canada kutambua na kuuheshimu uhuru na uwezo wa mfumo wa Mahakama wa Tanzania katika kutoa na kusimamia haki.

Uamuzi huo umefikiwa katika kesi iliyofunguliwa na asasi ya kiraia ya ‘Mining Watch Canada’ kwa niaba ya wanavijiji 32 kutoka jamii zinazozunguka Mgodi wa Dhahabu wa North Mara.

Awali, wakili wa wadai aliiambia mahakama kuwa hawakupeleka shauri hilo Tanzania kwa sababu mahakama zake si huru na kuwa kuna uwezekano wa wateja wao kutokutendewa haki, wakati upande wa utetezi ulibainisha kuwa mahakama za Tanzania ni huru.

Kesi hiyo ya madai ilifunguliwa Novemba 23, 2022 na ‘Mining Watch Canada’ kwa niaba ya wanavijiji 32 wa Tanzania, ikidai kuwa mpango wa usalama wa Barrick kwa Mgodi wa North Mara

Aidha, madai hao yanaeleza kuwa mpango tajwa wa usalama umesababisha ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi, na kusababisha vifo, majeraha, na mateso kwa raia.

Mjadala mkali ulitokea mahakamani hapo kuhusu uhalali wa Mahakama ya Canada kusikiliza shauri hili chini ya hoja ya ‘forum non conveniens’ (uhalali wa mahakama kusikiliza shauri).
Lilikuwa jukumu la Barrick kuonyesha ugumu wa mahakama hiyo iliyochaguliwa na wadai kutekeleza wajibu wake.
Barrick pia ilipaswa kuonyesha kuwa mahakama mbadala ya Tanzania ilikuwa na nafasi bora zaidi kusikiliza kesi.

Hoja hii ilileta ushindani kati ya Ontario na Tanzania; kwamba ni mahakama ipi hasa inayostahili kusikiliza shauri
Jaji alikataa madai kwamba mfumo wa Mahakama wa Tanzania ulikuwa na upungufu na kwamba mahakama za Tanzania kuna ‘ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na haki za msingi za binadamu’.

”Katika kuonyesha walakini mfumo wa sheria wa Tanzania, shahidi wa wadai, Fatma Karume, alishuhudia akisema kwamba amewahi kufungua shauri la kikatiba dhidi ya serikali hatua iliyosababisha ashtakiwe kwa makosa ya kitaaluma. Jaji Morgan amesema rekodi inaonyesha, hata hivyo, kwamba Fatma alipata adhabu kwa kuwa na tabia mbaya na matusi katika mawasilisho yake; ukosefu wa adabu kitendo ambacho mtu anaweza kukabiliwa na mashtaka ya nidhamu ya kitaaluma hata Ontario nchini Canada.

“Katika kusikiliza kwake kuhusu makosa, Fatma alishindwa kutoa ushahidi wowote katika utetezi wake; zaidi ya hayo, anadai kuwa alitukana wafanyakazi wa mahakama, yote haya yalisababisha kufukuzwa kwake.

“Ukweli kwamba Fatma alikuwa amefungua kesi ya kikatiba hapo awali, haikuwa chanzo cha matatizo yake ya kitaaluma,” amesema Morgan.

Vivyo hivyo, shahidi wa wadai, Mwabukusi ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), anasema alifungua kesimahakamani dhidi ya serikali kuhusu usimamizi wa bandari na kudai kwamba alikabiliwa na mchakato wa nidhamu ya kitaaluma kama matokeo ya hatia yake hiyo. “Rekodi inaonyesha, hata hivyo, kwamba Mwabukusi alifanya mkutano wa waandishi wa habari wakati kesi ilikuwa inasubiri huku akiwa amevaa mavazi yake ya mahakama, vitendo ambavyo vinakatazwa chini ya sheria za Tanzania,” amesema Jaji Morgan.
 
Attachments

  • IMG-20241216-WA0020(1).jpg
    IMG-20241216-WA0020(1).jpg
    236.4 KB · Views: 4

Kumeanza kuchangamka. It's Okay kwa sauti ya Pierre Liquid!
 
Sasa wameangukia pia gani?. Kesi bado itakuja kusikiliza Tanzania. Halafu hiyo kesi ni dhidi ya Twiga Corporation mgodi kwa niaba ya wananchi.
 
Yah right. Ingekuwa ni Barrick ndiyo wameshitaki ..... Hukumu ingekuwa tofauti.

Hawa Wazungu wanatuchezea akili tu.
 
Sasa wameangukia pia gani?. Kesi bado itakuja kusikiliza Tanzania. Halafu hiyo kesi ni dhidi ya Twiga Corporation mgodi kwa niaba ya wananchi.
Kesi isikilizwe Tanzania wakati mwanzo walidai mahakama za Tanzania sio huru?
You cannot eat your cake and have it too.
Waliokimbilia Canada wamewaharibia sana wanakijiji kwa kuwa mislead kwamba haki haipatikani hapa
kwenye mahakama zetu.Wamezoea majungu.
 
WAANGUKIA PUA

- ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao

- walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa

- Jaji wa Mahakama hiyo awatoa nishai, awaambia Mahakama Tanzania ziko huru na zinaweza kusikiliza kesi hiyo

- Fatma Karume aumbuliwa alipotaka mahakama hiyo iamini kuwa amevuliwa uwakili kwa sababu ya serikali badala yake akaambiwa amevuliwa kutokana na yeye kukiuka maadili

- Mwambukusi aambiwa hata CANADA wakili haruhusiwi kuongea na vyombo vya habari akiwa na joho la kiwakili linalotumika Mahakamani

- Ushahidi wa Tito Magoti nao wapigwa chini, waambiwa waheshimu mahakama na sheria

Na. Mwandishi Wetu,

KUJIFANYA unajua kila si jambo jemba, waswahili wanaeleza kitendo hicho ni kimbelembele. Ndivyo ilivyowakuta mawakili waandamizi akiwemo Fatma Karume, Boniface Mwabukusi ambaye ni Rais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika kuangukia pua nchini Canada.

Hali hiyo inatokana na mahakama Kuu ya Ontario nchini Canada kutambua na kuuheshimu uhuru na uwezo wa mfumo wa Mahakama wa Tanzania katika kutoa na kusimamia haki.

Uamuzi huo umefikiwa katika kesi iliyofunguliwa na asasi ya kiraia ya ‘Mining Watch Canada’ kwa niaba ya wanavijiji 32 kutoka jamii zinazozunguka Mgodi wa Dhahabu wa North Mara.

Awali, wakili wa wadai aliiambia mahakama kuwa hawakupeleka shauri hilo Tanzania kwa sababu mahakama zake si huru na kuwa kuna uwezekano wa wateja wao kutokutendewa haki, wakati upande wa utetezi ulibainisha kuwa mahakama za Tanzania ni huru.

Kesi hiyo ya madai ilifunguliwa Novemba 23, 2022 na ‘Mining Watch Canada’ kwa niaba ya wanavijiji 32 wa Tanzania, ikidai kuwa mpango wa usalama wa Barrick kwa Mgodi wa North Mara

Aidha, madai hao yanaeleza kuwa mpango tajwa wa usalama umesababisha ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi, na kusababisha vifo, majeraha, na mateso kwa raia.

Mjadala mkali ulitokea mahakamani hapo kuhusu uhalali wa Mahakama ya Canada kusikiliza shauri hili chini ya hoja ya ‘forum non conveniens’ (uhalali wa mahakama kusikiliza shauri).
Lilikuwa jukumu la Barrick kuonyesha ugumu wa mahakama hiyo iliyochaguliwa na wadai kutekeleza wajibu wake.
Barrick pia ilipaswa kuonyesha kuwa mahakama mbadala ya Tanzania ilikuwa na nafasi bora zaidi kusikiliza kesi.

Hoja hii ilileta ushindani kati ya Ontario na Tanzania; kwamba ni mahakama ipi hasa inayostahili kusikiliza shauri
Jaji alikataa madai kwamba mfumo wa Mahakama wa Tanzania ulikuwa na upungufu na kwamba mahakama za Tanzania kuna ‘ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa na haki za msingi za binadamu’.

”Katika kuonyesha walakini mfumo wa sheria wa Tanzania, shahidi wa wadai, Fatma Karume, alishuhudia akisema kwamba amewahi kufungua shauri la kikatiba dhidi ya serikali hatua iliyosababisha ashtakiwe kwa makosa ya kitaaluma. Jaji Morgan amesema rekodi inaonyesha, hata hivyo, kwamba Fatma alipata adhabu kwa kuwa na tabia mbaya na matusi katika mawasilisho yake; ukosefu wa adabu kitendo ambacho mtu anaweza kukabiliwa na mashtaka ya nidhamu ya kitaaluma hata Ontario nchini Canada.

“Katika kusikiliza kwake kuhusu makosa, Fatma alishindwa kutoa ushahidi wowote katika utetezi wake; zaidi ya hayo, anadai kuwa alitukana wafanyakazi wa mahakama, yote haya yalisababisha kufukuzwa kwake.

“Ukweli kwamba Fatma alikuwa amefungua kesi ya kikatiba hapo awali, haikuwa chanzo cha matatizo yake ya kitaaluma,” amesema Morgan.

Vivyo hivyo, shahidi wa wadai, Mwabukusi ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), anasema alifungua kesimahakamani dhidi ya serikali kuhusu usimamizi wa bandari na kudai kwamba alikabiliwa na mchakato wa nidhamu ya kitaaluma kama matokeo ya hatia yake hiyo. “Rekodi inaonyesha, hata hivyo, kwamba Mwabukusi alifanya mkutano wa waandishi wa habari wakati kesi ilikuwa inasubiri huku akiwa amevaa mavazi yake ya mahakama, vitendo ambavyo vinakatazwa chini ya sheria za Tanzania,” amesema Jaji Morgan.
Mahakama za kupigiwa simu
 
Tanzaniq inautitiri wa migodi midogomidogo na mikubwa kadhaa kwa nini hao wanavijiji tu ndio wanaonekana wanaonewa. Tena kwenye mgodi ambao unafensi kubwa na umeme juu watu wamo ndani wanaendelea na kazi zao vijiji viko nje vinanyanyaswa vipi.

Hapo ndio huwa sielewi.
 
Halafu vitu vingine ni vya ajabu na sijui akili zetu watz zinaishia wapi!Canada ni mdau mkubwa serikali ya Tanzania pia kampuni kubwa zinazojihusisha na madini hapa kwetu ni za Canada halafu mtu unapeleka kesi huko huko kwa mabeberu unategemea nini?kwamba Canada iwe upande wenu ili biashara yake iharibike?ajabu sana naona watz tumeshiba maharage
 
mwaukusi ni maneno tu hivi kuna kesi alishawahi kushinda huyu mburula?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom