Fatma Karume: Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi wakimshukuru Rais kupeleka pesa kwenye maeneo yao ni kujidhalilisha

Fatma Karume: Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi wakimshukuru Rais kupeleka pesa kwenye maeneo yao ni kujidhalilisha

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakili Fatma Karume ameweka wazi mtazamo wake kuhusu kitendo cha baadhi ya Wabunge kugalagala chini kwenye vumbi kumshukuru Rais kwa kupeleka fedha katika maeneo yao. Akizungumza katika mahojiano na The Chanzo, Karume alisema kuwa kitendo hicho ni cha kujidhalilisha na hakifai.

Pia, Soma:

+
Rufiji: Akina mama wagalagala chini kumpokea Mbunge Mchengerwa Ikwiriri
+ Mbunge Injinia Stella Manyanya Alala Chini kabisa kumshukuru Rais Samia kwa Miradi ya Maendeleo
 
Sio kujidhalilisha tu, ni kuonesha hawana uwezo wa kuongoza...
 
Hata wao wanajua wànajidhalilisha, ila ukiwa CCM hutakiwi kutumia akili.
 
Kuna mbunge mmoja mwana dada toka BUKOBA viti maalum ccm. Anavaa kama MAL..YA Flani hivi
 
Back
Top Bottom