Fatma Karume: Walioanda zile fraudulent report za Makinikia ni watu evil

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI

Msome hapa:

Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa.
Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2. Familia zimesambaratika. Maisha yameharibiwa. Wamefilisiwa.
Kwa UONGO!
Mnaelewa kuna crime ya ABUSE OF OFFICE?
Kwa kweli ni watu EVIL
 
Lahaula !
images - 2022-09-07T031654.475.jpeg
 
Uyo mwanamama arudi kwao Zanzibar akavue samaki
Hawa wazanzibar wanatunyonya sana
 
Kabudi na team yake, kwa kweli tungekuwa katika nchi ya watu ambao ubinadamu wao umekamilika, walistahili kufik8shwa mahakamani kwa kuuhadaa umma.
 
Ama uwe sisiemu au autokane na sisiemu, milembe ndio mahala pekee unapostahili kuwepo muda wote.
 
Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI

Msome hapa:

Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa.
Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2. Familia zimesambaratika. Maisha yameharibiwa. Wamefilisiwa.
Kwa UONGO!
Mnaelewa kuna crime ya ABUSE OF OFFICE?
Kwa kweli ni watu EVIL
Familia ipi na watu gani walifungwa, heb tuanzie hapo kwanza...
 
Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI

Msome hapa:

Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa.
Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2. Familia zimesambaratika. Maisha yameharibiwa. Wamefilisiwa.
Kwa UONGO!
Mnaelewa kuna crime ya ABUSE OF OFFICE?
Kwa kweli ni watu EVIL
Huyo Fatma kama atakiri kuwa babu yake alikuwa ni MTU EVIL wa kwanza baada ya mapinduzi nitamheshimu sana. Kwa sasa hivi namchukulia kama Mdude Chadema tu!
 
vipi kuhusu hizo B700 nazo za kweli au yale yale,
 
fatuma karume baba yako ana skendo ngapi zanzibar lakini mwinyi kafunika babu yako kafanya maovu mangapi zanzibar lakini husemi, unayaona ya makufuli tu kwa sababu alikuwa hakupendi
 
Back
Top Bottom