Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndio nani huyu?
Ndio nani huyu?
Familia ipi na watu gani walifungwa, heb tuanzie hapo kwanza...Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI
Msome hapa:
Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa.
Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2. Familia zimesambaratika. Maisha yameharibiwa. Wamefilisiwa.
Kwa UONGO!
Mnaelewa kuna crime ya ABUSE OF OFFICE?
Kwa kweli ni watu EVIL
Huyo Fatma kama atakiri kuwa babu yake alikuwa ni MTU EVIL wa kwanza baada ya mapinduzi nitamheshimu sana. Kwa sasa hivi namchukulia kama Mdude Chadema tu!Ameandika hivyo kupitia mtandao wa twitter akionekana kutoa maoni yake kuhusian na kauli ya Prof. Kabudi ambapo ame-attach gazetli la JAMHURI
Msome hapa:
Palamagamba na profesa wengine wote walieandika zile ripoti fraudulent ni wakushatakiwa.
Innocent people walifungwa kwa miaka zaidi ya 2. Familia zimesambaratika. Maisha yameharibiwa. Wamefilisiwa.
Kwa UONGO!
Mnaelewa kuna crime ya ABUSE OF OFFICE?
Kwa kweli ni watu EVIL
HahahaLahaula !
View attachment 2377263
shangazi wa taifaNdio nani huyu?