Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Mwenzenu kaweka Hadi reference, Nyie mnamshambulia yeye Kama yeye. Tatizo Ni Nini mataga?Huyu mama anaaashwa sana na maisha ya watu
Kulinganisha uwezo wa kuelewa sheria wa Fatima na Mwanasheria Mkuu wa serikali ni sawa na kulinganisha uwezo wa mwalimu wa shule ya msingi na professor wa chuo kikuu.Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Yaani Professor wa sheria tena AG hajui tofauti kati ya dola na serikali ??.1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Maneno ya ki Pimbi kabisa hayo.Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Serikali ni mhimili mmoja kati ya 3,ana maanisha nini?
Serikali ina mihimili 3,Executive judiciary and Legislature, kosa liko wapi? Maana ni serikali moja iliyojigawa katika mihimili mitatu.
Chadema imejaa wavuta bangi na wanywa konyagi. Upuuzi kama huu sio wa kushabikia.
Dola na serikali ndio nini? Halafu unasema wewe unamponda Ag? Chadema ni halali ife.Yaani Professor wa sheria tena AG hajui tofauti kati ya dola na serikali ??.
Government ina 3 pillars...Hapo ndipo ninapowashangaa watanzania,tuna mwanasheria mkuu wa serikali asiyeelewa sheria??
Yeye na aliyemteua wote ni vilaza.
MATAGA bhana, Babu yake alikuwa mwanasheria?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Katiba inasema "lazma awe mtu ishi wa umma kwa miaka 15 mfulilizo kabla ya kuteuliwa kuwa AG.,Hapo ndipo ninapowashangaa watanzania,tuna mwanasheria mkuu wa serikali asiyeelewa sheria??
Yeye na aliyemteua wote ni vilaza.
weka ushahidi kama yeye alivyoweka msiwe kasukuHuyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
kanga lugulu na Jubu ndugu-wai hawapuliziccm imejaa wapulizaji