Wakili yeyote ni mtaalamu wa sheria lakini siyo mshauri wa mamlaka wewe mwanasheria mkuu unapata wapi mamlaka ya kuwa mshauri wa mahakama ?Mambo mawili;
1. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni Wakili hivyo kwa yeye kuwa mtaalamu wa masuala ya Sheria anaswihi kumshauri mtu/taasisi kuhusu sheria
2. Kwa mujibu wa katiba (sikumbuki kifungu)
Kwa nini hufungui wewe?Fatma fungua pingamizi la mgombea wa CCM hajaziliwa Tanzania
Hivi unataka kuniambia legislature maanake bunge!? Na parliament nini? au walikosea kusema legislature badala yake wangeandika parliament?Dola (kwa kiingereza "State") ndio yenye Mihimili Mitatu ambayo ni 1. Serikali 2. Bunge na 3. Mahakama. Serikali Kuu ( Central Goverment) ni sehemu ya Serikali kama ilivyo Serikali za Mitaa ( Local Government).
Amandla...
JE KOSA LIKO WAPI HAPO? VIFUNGU ALIVYOWEKA HAPO SIYO SAHIHI AU HAVINA UHUSIANO NA ALICHOKISEMA?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu
Shangazi fatty Karume mimi siko huko naomba namba yako ya simu tu, mengine tutaongea kwa simu1/Leo Adelardus katoa ushahidi dhidi yangu akisema yeye ni mshauri wa Serikali chini ya Ibara 59(3) ya Katiba na Serikali Ina mihimili 3, EXECUTIVE, LEGISLATIVE na JUDICIARY! Mungu wangu! Kwa kweli siwezi kupoteza muda wangu na mtu asiyeelewa KATIBA halafu ni MWANASHERIA MKUU! https://t.co/NTobVxfrc7
View attachment 1486607
2/ Kwa kusema SERIKALI Ina Mihimili 3, Executive, Judiciary na Legislative Ina maana Adelardus haielewi KATIBA yetu kabisa. Basi hata ibara ya 4 hajaisoma? Serikali ni MIHIMILI 1 kati ya 3. Siwezi kupoteza muda kumsikiliza AG asiyeielewa KATIBA yetu! https://t.co/wQuAbijdoyView attachment 1486611
Kama AG ni wa Executive sasa nauliza AG sio part ya bunge? Mbona Mara nyingi hutoa ufafanuzi wa kisheria bungeni na ndie mwandishi wa sheria baada ya kupitishwa na bunge!Dola (kwa kiingereza "State") ndio yenye Mihimili Mitatu ambayo ni 1. Serikali 2. Bunge na 3. Mahakama. Serikali Kuu ( Central Goverment) ni sehemu ya Serikali kama ilivyo Serikali za Mitaa ( Local Government).
Amandla...
Kama una matatizo ya ufahamu jaribu kuuliza kwa wente kujua. Unajidhalilisha.Dola na serikali ndio nini? Alafu unasema wewe unamponda Ag? Chadema ni halali ife.
Kweli wewe ni mpumbavu. Kwa mujibu wa katiba yetu Rais ni kiongozi wa serikali na pia ni Mkuu wa nchi.Umeishia darasa la ngapi? Maana hata darasa la pili wana smart phones. Na ndio watu kama wewe. Executive,judiciary na mahakama ni kitu kimoja. Ila huo ni mgawanyo tu wa madaraka. Ili kuondoa ukiritimba katika kufanya kazi. Ndio maana unaina Rais anateua majaji. Ndio maana unaona Rais anafungua na kuvunja Bunge. Ila sio kosa lako ni Chadema.
Hivi unataka kuniambia legislature maanake bunge!? Na parliament nini? au walikosea kusema legislature badala yake wangeandika parliament?
Watanzania tujifunze hiko ni kiingereza
mkuu wewe mbona hujaweka izo nukuu za katibaBila ya nukuu ya kisheria ama katiba unapiga makofi[emoji3][emoji3]
Umbulula ni kipaji
mkuu wewe mbona hujaweka izo nukuu za katiba
Unavyoandika kwa confidence utadhani mtu mzima eti
Lingekua linatuogopesha kama unavyodai tusingelitukana na kulidharau!Jina linalowafanya mapepo watetemeke kwa hofu[emoji3][emoji3]
Linawafanya wajinga to go crazy na kutukana
Lingekua linatuogopesha kama unavyodai tusingelitukana na kulidharau!
Ptuuu,nimelitemea mate!
Kama AG ni wa Executive sasa nauliza AG sio part ya bunge? Mbona Mara nyingi hutoa ufafanuzi wa kisheria bungeni na ndie mwandishi wa sheria baada ya kupitishwa na bunge!
Umeelewa lakini hoja yake?Huyo Fatima hajawahi kujua sheria anatembelea jina la babu